Isha Mashauzi…Yeah Thats Her!!

Isha Mashauzi…Yeah Thats Her!!

Nov 04

Huyu ndiyo Original Isha Mashauzi, Hakuna mwingine Bongo na hatawahi tokea…..Usishangae why nimemuweka coz unajua mimi sio fan wa Taarabu but heyy…swagg za Isha mie hoi…Kuanzia make-ups, mavazi na kila kitu!

Mhhh this is ISHA Mashau, dont hate…anakwambia mwanamke kujiamini..

Nyonyo lake anakwambia ndio kila kitu na watu wanakufa kwaajili ya hilo nyonyo..Upoo?

4 comments

  1. sweet

    Nampa BIG UP SANA ISHA!!!
    Kiukweli nilikuwa nampenda kujiamini kwake tangu hajatoka wala hajafahamika.
    isha kaz but mtu wangu!!!

    by
    Sweet kutoka MASHAUZI CLASSIC ORIGINAL(YATAKAMOYO) NAKATA YA MBAGALA

  2. Ramadhani Masoud

    dah isha unatisha kuanzia sauti mpk performance keep on it yeah

  3. Mark Shauri

    Mazee Isha wakati wote hunimaliza,hasa matiti yake,na magoa yake.

  4. Nimesafiri.niko Marekani lakini kila Siku lazima nimkumbuke AIsha ni shabiki wake lie mbaya hata mke wangu anajua na hana Norma .

Leave a Reply

Your email address will not be published.

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>