WHEN FAMILY COMES FIRST…

WHEN FAMILY COMES FIRST…

Jan 31

Swiss Beats,producer, rapper and husband of singer Alicia Keys, spotted pande za Hawii with his son with Alicia Keys…Ikija kitu FAMILY, unaweka vitu vyote pembeni… Yes she might be a homewrecker…dated Swiss wakati bado yuko kwenye ndoa but here she is Mrs Swiss with a son pembeni….she pretty and we gon give it up for her…Cheki mguu! Alicia with her baby..PRICELESS...

AUDIO; GODZILLA ft ALLY KIBA New*

AUDIO; GODZILLA ft ALLY KIBA New*

Jan 31

Yess As yall know GODZILLA is one of AngaliaBongoz Favourate rapper and here is the new joint ‘Kuwa Nawe’ which he featured Ally Kiba.. I like the song,siku zote Godzilla hatuangushi ilaaa tatizo lake la kuweka R kwenye L bado linamsumbua…….Wakubwa wake wa kazi wnaatakiwa waangalie sana kuhusu hili tatizo…labda wajaribu kumtaftia mwalimu wa kumpa mafunzo jinsi ya...

Last Touch Ndani Ya Nisher Records In Arusha

Last Touch Ndani Ya Nisher Records In Arusha

Jan 30

REMEMBER Nisher?? Usher Raymond wa Bongo?? okey renovation ya ukweli imefanyika kwenye studio yake NISHER RECORDS na  soon zinafunguliwa….. Nisher (with headphones) akiwa na friends ndani ya studio.. Nisher ni producer…Studio inafunguliwa tarehe 2 mwezi wa pili..Kama wewe ni msanii,nenda kabikiri Nishers Studio… Bookmark on Delicious Digg this post Recommend on Facebook...

TAARIFA KWA WOTE

TAARIFA KWA WOTE

Jan 30

JUMAPILI TAREHE 5-2-2012 KUTAKUWA NA MECHI KALI BAINA YA WANAMUZIKI WA DANSI(BENDI ZOTE) NA BONGO MOVIE WAKIWA WAMECHANGANYIKANA NA WACHEKESHAJI(COMEDIANS) KWENYE UWANJA MPYA WA TAIFA KWA KIINGILIO CHA TSH 2000 TU…..NI MECHI YA HISANI KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO YALIYOTOKEA DAR ES SALAAM……TUNAOMBA TUUNGANE KATIKA HILI KWANI JAMII ILIYOPATWA NA ATHARI NI WATANZANIA WENZETU NASI...

MKASI WA SALAMA WIKI HII..

MKASI WA SALAMA WIKI HII..

Jan 30

Mkasi wiki hii wa Salama akiwa na Steve Nyerere…Show is getting more and more successfull..Hongera kwa Maproducer, Salama and AY.   Bookmark on Delicious Digg this post Recommend on Facebook share via Reddit Share with Stumblers Tweet about it Subscribe to the comments on this post...