VIDEO; Kumbe Mama Kim K Alikua Singer!!
Jan 24Dah kweli usim-judge mtu bila ya kujua mizizi ya family yao…So watu wanajudge KIM K malaya,vile sijui hivii…Hatuangalii tabia katoa wapi…Refering na story iliyo moto sasa kuwa Mama Kim alimcheat mume wake wakati yuko ndani ya ndoa na kuhave sex na hair dresser wake na results Mama Kim akapata mimba ya hair dresser huyo,mara KHLOE akazaliwa!!…NOW you know KIM Karithi...
MAKAMUA KADONDOKEA WAPI??
Jan 24UKINIULIZA katika wasanii wa RnB Bongo napenda music wa nani Il straight say Makamua…He is my number one rnb singer in Tanzania na bila ya ubishi ana kipaji…But yuko wapi hii leo?? Unakumbuka Rudi Nyumbani? Natamani? Why?? lakini leo yuko wapi na ana fanya nini?? This right here is a true talent lakini leo hii hata hajulikani alipo, last time naongea nae alikua Bagamoyo anasomea...
VIDEO; WAJUA MAANA KU-TWERK WEYEEE???
Jan 24Okey so defination ya Twerk ni dancing sexually…na Wabongo tuna claim kuwa tunajua kucheza…well kuna makundi mengi mara BAIKOKO,WERA WERA, KITU TIGO na mengine tu ambayo yamepata umaarufu kutokana na kucheza(Kukatika( watever… So here is the deal, introducing to you Twerk Girls,hapo pichani ni mtu na dadake wanaishi Atlanta na sasa hivi wamekuwa mastaa kutokana na...
VIDEO; Yes… J COLE IS HAWWT!!
Jan 24So yes I may sound a lil bit late but lemi tell you, JCOLE is my new artist and tell you JIGA amekuza kijana…His album COLE WORLD is ill…Nakuwa na angalia sana upande wa wakongwe halafu sinaga muda wa kuskiliza vipaji vipya but damn nimekumbana na JCOLE i was like whatt?? Here goes my new favourate artist…Mind you ndio msanii w akwanza kusign kwenye lebel ya JayZ…..NA...

Sarah Crystal ,born in the 80´s & the last born of a family of 2 Siblings.I started blogging in 2007..Yesss,Im one of them Legendaries In Tanzania Blogging Industry.
By proffesional a Journalist and writing is something that I have been always loving ever since In my early Age.Special thanks to our Almight Jesus Christ for giving me this Opportunity of owning a beautiful blogsite that you are ON right now and I also appriciate every beat of yall in here...
Never hesitate to write me,advice or send anything that will be delicious for our Angalia-bongo.com BUT sorry No politics....Email me; angaliabongo@yahoo.com
Follow Angalia Bongo on twitter www.twitter.com/angaliabongo
...Always Love-; Sarah C.