VIDEO; Kumbe Mama Kim K Alikua Singer!!

VIDEO; Kumbe Mama Kim K Alikua Singer!!

Jan 24

Dah kweli usim-judge mtu bila ya kujua mizizi ya family yao…So watu wanajudge KIM K malaya,vile sijui hivii…Hatuangalii tabia katoa wapi…Refering na story iliyo moto sasa kuwa Mama Kim alimcheat mume wake wakati yuko ndani ya ndoa na kuhave sex na hair dresser wake na results Mama Kim akapata mimba ya hair dresser huyo,mara KHLOE akazaliwa!!…NOW you know KIM Karithi wapi…

Achana na hiyo,pili mama Kim alikuwa Wanna Be, yani alishatoa mpaka wimbo na video yake), Sijui ilikuaje carrier ikafa….yani alikua anajaribu kila njia ili tu awe famous,well from her 20s kahangaika kutoka lakini MUNGU si ASUMANI wala MWAJUMA, inshallah sala zake zilijibiwa na here she is..anajulikana dunia nzima..MTOTO wake alijaribu kila njia kuwa staa,mara stylist wa mastaa,mara bestfriend wa Paris Hilton lakini MUNGU si Rashidi SEX TAPE ikamtoa(hahahah) special thanks kwa Ray J kwa kusababisha haya…SO umeona mtoto na mama wote walikuwa WannaBez

OKEY watch the video ya Mama Kim enzi hizo akiwa 30s tryna fitin singing as a carrier but it was a big fail!!

PS; KWA WALE MA-WANNA BEz MSICHOKE KUJARIBU..SIKU MOJA MUNGU ATAJARIBU KUJIBU SALA ZENU na MTAKUA MAARUFU MFANO TUMEUPATA KUTOKA KWA MAMA KIM K…MSIJALI (BWAHAAAA!) 

1 comment

  1. Anonymous

    gff

Leave a Reply

Your email address will not be published.

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>